Afyazaidi | Bidhaa zetu

Bidhaa zetu

Angalia bidhaa zetu mbalimbali pamoja na bei zake

VIWEMBE - 1500

Viwembe vya aina mbalimbali kwa ajili ya kunyolea nywele na kujisafisha mwili wako. Vipo vya bei mbalimbali kuanzia Tsh 1000 hadi Tsh 10000. . .

ACNE FREE - 14000

Hii ni dawa kwa ajili ya kusaidia kutibu chunusi. Anza kupata ushauri wa daktari kwanza kabla ya kuitumia. Inasaidia sana kuondoa chunusi na kupunguza ma. . .

BIO OIL - 14000

Ni mafuta mazuri kwa ajili ya kusaidia kuondoa michirizi, tatizo la ngozi kavu, tatizo la ngozi yenye muonekano tofautitofauti na kulainisha ngozi. Zipo . . .