Pata Ushauri Mzuri Kutoka Kwa Daktari, Mfamasia, Nesi, Mtaalam Wa Lishe Na Kadhalika Ili Upate Matokeo Mazuri Zaidi. Muda Wowote, Mahali Popote Ulipo. Tumekurahisishia Maisha. Simu Yako, Mtaalam Wako. Afya Zaidi Kidigitali Sasa!

Karibu sana AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS!

Fahamu mengi kuhusu

AFYA ZAIDI CLUB

"Kwa Sababu Wewe Ni Wa Kisasa Na Mchapakazi Basi Unastahili Kilichobora Zaidi Kwa Urahisi, Uharaka Na Unafuu"

- Said Rashid (Muanzilishi - AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS)


KARIBU KATIKA CLUB BORA YA AFYA, AFYA ZAIDI CLUB.
Hautapata shida tena kutafuta bidhaa zako na kuzipata kwa wakati, hata kama hautakuwa na pesa ya kulipia Cash.

AMANI YA KUPATA BIDHAA ZAKO ZOTE, MAHALI PAMOJA, KWA NJIA YA KIDIGITALI
1. Dawa Ulizokosa Hospitali/Famasi
2. Virutubisho (Supplements)
3. Bidhaa Za Usafi Wa Mwili
4. Vipodozi
5. Bidhaa Za Mazoezi/Fitness

KWA KUPITIA UTARATIBU RAHISI KWAKO
> Weka Order Yako
> Pata Confirmation
> Subiri Bidhaa Zako (Utaletewa Ulipo)
> Pokea Bidhaa Zako
> Fanya Malipo

NI MAALUM KWA MEMBER WETU TU
Kuwa Member Wetu Upate Punguzo La Bei Na Ofa Zingine Nyingi. Hakuna Gharama Ya Kujiunga Au Kuwa Member Wetu.

JISAJILI SASA
Tafadhali Tutumie Meseji (SMS), E-mail Au WhatsApp Ili Tukusajili Kisha Uanze Kufurahia Huduma Hizi. Tumia +255 788 179 686 au afyazaidi@gmail.com.

Kwa maelezo zaidi tafadhali tupigie simu.

Karibu Sana!

Wasiliana nasi

Shuhuda mbalimbali za wateja wetu

Huduma zao ni nzuri sana, nimezipenda.

Bless mgongolwa - BMI GROUP
Blog

Soma makala mbalimbali, angalia bidhaa, picha video nk. kutoka Afyazaidi