Kuhusu sisi

SISI NI NANI?

AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS ni platform inayokutanisha watu wenye matatizo na mahitaji mbalimbali ya afya, urembo, lishe na vipodozi na wataalam wa dawa, lishe, vipodozi na matibabu ya matatizo mbalimbali.

Tunalenga kusaidia watu kupata ushauri wa ufumbuzi wa matatizo yao na bidhaa za kuwasaidia kutatua matatizo yao na kutimiza malengo yao.

Kama wewe unasumbuliwa na tatizo au ni mtaalam unaweza kuwasaidia watu wenye matatizo basi karibu sana kwenye platform hii. Hapa ni maalum kwa ajili yako.

Wasiliana nasi

LENGO LETU

Kusaidia Watu Kupata Ushauri Wa Kitaalam, Bidhaa Bora Na Matokeo Mazuri Kwa Urahisi, Haraka na Gharama nafuu.

DIRA YETU

Kuwa Kituo Namba Moja Tanzania Cha Ushauri Wa Afya, Dawa, Lishe Na Vipodozi Kwa Njia Ya Kidigitali.


Warning: Undefined variable $testimoniesData in /home/bmigroup/public_html/afyazaidi/about.php on line 230

Huduma zao ni nzuri sana, nimezipenda.

Bless mgongolwa

BMI GROUP

Huduma zao ni nzuri sana, nimezipenda.

Bless mgongolwa - BMI GROUP