Facial Cleanser (Face Wash)

Unasumbuliwa na tatizo la mafuta mengi usoni (uso wako ni wa mafuta)? Tafuta Facial Cleanser na utumie kusafishia uso wako. Itumie kutwa mara mbili (2), kwa siku 10 hadi 14 utapata matokeo yako mazuri .....