Moisturiser (Mafuta ya kusaidia majimaji kwenye ngozi)

Losheni mbalimbali pamoja na mafuta husaidia kuzuia maji yasipotee kutoka kwenye ngozi yako, na nyingine husaidia kuongeza maji kwenye ngozi yako. Paka kutwa mara mbili au kila baada ya kunawa/kuoga. Itakusaidia kulainisha na kung'arisha ngozi yako.