Scrub

Scrub ni kama msasa kwa ngozi yako. Inasaidia sana kuondoa ngozi ya juu juu ambayo imezeeka, imefubaa au imechanganyikana na vumbi na uchafu mwingine. Matokeo yake ni kukuacha na ngozi changa, safi, inayong'aa na kupendeza. Scrub angalau mara mbili (2) kwa wiki na utapata matokeo mazuri zaidi kuliko kupoteza nguvu zako zote kwenye losheni peke yake