VISANDUKU VYA HUDUMA YA KWANZA (FIRST AID KITS)

Tunaandaa na kuuza visanduku vya huduma ya kwanza vya aina mbalimbali. Ni vizuri na vinafaa kwa matumizi mbalimbali kama vile kwenye gari, nyumbani, ofisini, kiwandani, kwenye michezo, shuleni, hotelini na kadhalika
Umeipenda bidhaa hii?
Tafadhali tutumie ujumbe whatsapp / tupigie kwa namba hii 0788179686 au tutumie email kwenda afyazaidi@gmail.com ili tuweze kukupa bidhaa hii.