VISANDUKU TUPU VYA HUDUMA YA KWANZA (FIRST AID KITS)

Tuna visanduku tupu vya huduma ya kwanza kwa ajili ya Famasi na watu wengine ambao wanapenda kuweka dawa na vifaa vyao wenyewe. Vipo vidogo na vikubwa, bei kati ya Tsh 5,000 hadi Tsh 10,000.
Umeipenda bidhaa hii?
Tafadhali tutumie ujumbe whatsapp / tupigie kwa namba hii 0788179686 au tutumie email kwenda afyazaidi@gmail.com ili tuweze kukupa bidhaa hii.